Wednesday, October 3, 2012

Hawa ni baadhi tu ya celebrities kutoka Bollywood ambao wanatufanya kwa namna moja au nyengine tuendelee kupenda movie kutoka huko...

HII NI KWA AJILI YA WAPENZI WOTE WA MOVIE NI NYIMBO ZA KIHINDI

Habari zenu wapendwa? Ninaamini kama mimi nilivyo mpenzi wa filam na nyimbo za kihindi, basi nina imani wapo wenzangu na mie ammbao ni wapenzi pia.
Blog hii itakua inappost news kuhusiana na updates za movie mpya, nyimbo mpya, pamoja na ku review movie ambazo zinafanya vizuri katika mauzo ndani ya Box Office.
Karibuni sana, hope mta enjoy.